BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani na Iran zatupiana lawama baada ya mazungumzo yao kugonga mwamba
Viongozi walioongoza ujumbe wa pande hizo katika mazungumzo ya Islamabad, wameonyesha kutupiana lawama, kila upande ukimshutumu mwenzake kwa kuwepo kwa masharti magumu na kukosekana kwa imani, hali iliyosababisha mazungumzo kutofikia makubaliano.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Jinsi utamaduni unavyoendelea kuathiri wanawake Afrika
Duniani kote, mwanamke mmoja kati ya watatu atakumbana na ukatili wa kimwili au kijinsia katika maisha yake.
Mitazamo sita ya lishe ambayo hufai kuamini
Kuondoa vyakula vya wanga kunaweza kuchangia kupunguza uzito wa mwili, ila kwa mara nyingi huchangia kupoteza kiwango cha maji mwilini kuliko mafuta.
Tetesi za soka Ulaya: Bayern, Arsenal 'zatoana roho' kwa Anthony Gordon
Bayern Munich wameonyesha nia ya kumsajili Anthony Gordon, Manchester United wanatarajia kuwazidi wapinzani wao katika mbio za kumsajili Elliot Anderson, huku Liverpool wakimfuatilia Yankuba Minteh wa Brighton.
Wanaanga wa Artemis II watua salama baada ya kukamilisha safari ya kihistoria mwezini
Nasa imesifia mbinu iliyotumiwa na wanaanga hao wanne kutu katika bahari ya Pacific baada ya kusafiri umbali ambao haujawawahi kufikiwa na binadamu yeyote.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Sokwe wakumbwa na 'vita vya wenyewe kwa wenyewe' Uganda
"Hawa sokwe walipendana sana," mtafiti Aaron Sandel alisema. "Sasa wanauana."
Mpango wa kufuta uchaguzi wa urais unawaweka Wazimbabwe katika mvutano mkubwa
Chama tawala kimewasilisha muswada wa sheria ambao unawanyima wapiga kura nafasi ya kumchagua rais.
Nani kipa bora zaidi duniani? Je ni Raya, Neuer au Maignan?
David Raya na Manuel Neuer walitamba katika Ligi ya Mabingwa wiki hii - lakini je, ni miongoni mwa makipa bora zaidi duniani?
Watu wanane wafungwa jela Tanzania kwa kudai kupotea kwa nyeti zao
Watu hao wamehukumiwa kifungo cha kati ya miezi tano na sita kwa kusambaza taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo za nyeti zao kupotea baada ya kushikwa bega.
Iran na Marekani kukutana Pakistan usiku; nani wanahudhuria na nini kiko mezani?
Trump pia alionya kuwa mataifa yanayoiuzia Iran silaha zitawekewa vikwazo vya 50% kwa bidhaa zao zinazouzwa nchini Marekani.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
Wanaanga wa Artemis II wavunja rekodi kwa safari ya kihistoria mwezini
Lengo la misheni hii ilikuwa kuweka msingi kwa ajili ya kutua mwezini katika misheni ijayo ya Artemis III.
Kutana na 'mmiliki' wa mwezi aliyeuza ardhi mwezini na kuwa bilionea
Wanunuzi walikuwa watu maarufu kama marais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan, Jimmy Carter na hoteli kubwa kama Hilton na Marriot.
Jinsi rubani wa Marekani aliyetoweka Iran alivyookolewa
Marekani imemuokoa rubani wa pili aliyepotea baada ya ndege ya kivita ya nchi hiyo kudunguliwa kusini mwa Iran.
Sayansi ya anga: Je, dunia itaisha vipi na lini?
Abrom Zabot anaongeza kuwa baadhi ya makadirio yanazungumzia trilioni za miaka, huku mengine yakihusisha muda mrefu zaidi.
Kwa nini saa ina dakika 60, na sio 100?
Wanamapinduzi waliamua kuwa siku igawanywe katika saa 10 badala ya 24. Kila saa ingekuwa na dakika 100 za desimali, na kila dakika ingegawanywa katika sekunde 100.
Jinsi mkakati wa vita wa Iran ulivyowashangaza Marekani na Israel
Balozi wa zamani wa Marekani katika NATO, Ivo Dalder, akijibu hotuba hiyo, alisema kuwa kauli ya Trump imezua "mashaka kuhusu malengo ya vita" na kuacha maswali kadhaa muhimu bila majibu.
Pakistan imewezaje kuwa mpatanishi wa vita vya Trump na Iran?
Pia haina kambi za anga za Marekani. Na tofauti na wapatanishi wengi wa Ghuba bado Pakistan haijaingizwa kwenye mzozo huo. Muhimu zaidi, iko tayari kuingilia kati - amani kati ya Marekani na Iran itakuwa na manufaa yake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 13 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































