BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Moja kwa moja, Lazima tulipize kisasi mauaji ya Ali Khamenei - Iran
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, ameapa "kulipiza kisasi damu ya baba yake isiyo na hatia," akiongeza kuwa ni jukumu la taifa hilo kulipiza kisasi.
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Mohamed Salah azikatisha tamaa klabu za Saudia - kunani?
Kitita cha fedha anachodai Mohamed Salah chazikatisha tamaa klabu za Saudi Arabia; Bayern Munich yakataa jaribio la Real Madrid kumsajili Michael Olise; Barcelona yakubaliana kumsajili Karim Adeyemi.
Mwanamume asimulia alivyonusurika shambulio la simba
Wanakijiji wanasema kuwa Kalubhai amelazwa katika hospitali kuu ya Sir Takhtsinhji mjini Bhavnagar, baada ya kupata majeraha mabaya.
Tunafanya mazungumzo na Iran ila usitishaji mapigano umefutiliwa mbali - Trump
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kushambulia maeneo kadhaa katika majimbo matano kusini mwa Iran kufuatia mashambulizi dhidi ya meli zilizokuwa zikipita eneo hilo.
Kwa nini Uturuki iliwazawadia viongozi wa NATO bastola zenye risasi sita?
Zawadi hiyo ya bastola iliwekwa ndani ya kisanduku cha mbao chenye mpangilio wa rangi nyeusi. Kisanduku hicho kilikuwa na bendera ya Uturuki, nembo ya NATO na kibao kilichoandikwa kwa Kituruki na Kiingereza: "Gumusay, bastola ya kwanza ya aina ya revolver kutengenezwa nchini mwetu."
VAR ni nini, na kwa nini inaleta utata mkubwa katika Kombe la Dunia?
Kabla ya mashindano ya Kombe la Dunia 2026, mfumo wa VAR uliweza kutumika katika hali nne pekee, mabao, maamuzi ya penalti, matukio ya kadi nyekundu na makosa ya kumtambua mchezaji.
Majengo 10 marefu zaidi Afrika Mashariki 2026
Mandhari ya anga ya Afrika Mashariki inabadilika kwa kasi huku majengo marefu ya Nairobi, Dar es Salaam, na Kigali yakichukua nafasi ya juu, jambo linaloakisi ukuaji wa uchumi na azma ya maendeleo ya mijini katika eneo hili.
Vita vya Ukraine vilivyobadili uhusiano kati ya Putin na matajiri wa Urusi
Kuondoka kwa makampuni mengi ya kigeni baada ya uvamizi wa Ukraine kuliacha nafasi kubwa katika soko la Urusi. Nafasi hiyo ilijazwa haraka na wafanyabiashara wenye uhusiano wa karibu na Kremlin, ambao waliruhusiwa kununua biashara na mali zenye faida kubwa kwa bei za chini sana.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
‎Maandamano Saba saba: 10 wakamatwa Nairobi huku Tanzania kukiwa kimya
Hali ya ulinzi imeonekana kuimarishwa zaidi katika jiji kuu la kibiashara la Tanzania Dar es Salaam, huku mamia ya maafisa polisi na jeshi wakionekana kutanda katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo.
Njia 4 nadra ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito
Isipokuwa iwapo umeruka darasa la elimu ya ngono, labda una ufahamu wa kimsingi jinsi watoto wanavyoumbwa.
Vyuo 10 bora zaidi barani Afrika 2026
Vyuo vikuu barani Afrika vinazidi kutambulika katika jukwaa la kimataifa, kwa kuchochewa na matokeo yenye nguvu ya utafiti, ushirikiano wa kimataifa, na ushawishi unaokua wa kitaaluma.
Nini huzuia wanawake wengi kutofika kileleni?
Sababu nyingine inayochochea wanawake kutofika kileleni wanapokuwa na wenzi wao ni ugumu wa kuzungumza na uwazi kuhusu wanachokipenda wakati wanashiriki ngono.
Zijue nchi 10 wauzaji wakubwa wa silaha duniani
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Je, Tanzania inajenga makazi bora kwa nani?
"Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za milioni 30 au 50. Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," Vanessa Stafford aliandika kwenye ukurasa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Je, unaamka saa nane au tisa usiku na kushindwa kulala tena?
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, kuamka nyakati hizo kunaweza kuwa ishara ya matatizo mbalimbali.
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mataifa 10 yenye amani zaidi barani Afrika 2026
Huku sehemu za bara zikiendelea kukabiliana na ugaidi, uasi, na ukosefu wa utulivu wa kisiasa, nchi kadhaa zimedumisha viwango vya juu vya amani na usalama.
'Tulipoingia ndani ya bunge la Kenya tulifyatuliwa risasi'
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Kwa nini ndege za Urusi zinadondosha mabomu katika himaya yake?
Watafiti wanasema kuwa matukio mengi ya mabomu kudondoka kwa bahati mbaya hutokea katika eneo la Belgorod nchini Urusi, linalopakana na eneo la Kharkiv nchini Ukraine ambalo lina viwanda vingi.
Makubaliano ya Iran na Marekani: Kwa nini nchi za Ghuba ya Uajemi bado zina wasiwasi?
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo mkubwa zaidi wa madhara.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 13 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































