BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, UN yaishutumu Iran kwa "kutenda uhalifu dhidi ya ubinadamu"
UN yaishutumu Iran kwa "kutenda uhalifu dhidi ya ubinadamu" na kuibua tuhuma kwamba "Washington ilitenda uhalifu wa kivita"
Kutoka kuku wa nyuklia hadi bunduki ya kutapisha: Uvumbuzi wa Kijeshi wa ajabu
Historia imejaa ubunifu wa kijeshi uliolenga kushinda adui au kufanya mashambulizi kuwa na ufanisi zaidi. Baadhi ya teknolojia hizi zilikuwa na mafanikio, huku nyingine zikishindikana au kubaki kuwa majaribio ya ajabu.
Je, risiti unazobeba kila siku zinaweza kuathiri uwezo wa kupata watoto?
Wasiwasi kuhusu kemikali aina ya BPA kwenye risiti umeongezeka kwenye mitandao ya kijamii, huku baadhi ya madai yakisema zinaweza kusababisha ugumba na kuvuruga homoni. Lakini je, kugusa risiti kweli kunaweza kuathiri uwezo wako wa kupata watoto?
Picha zafichua uharibifu mkubwa katika kambi za Marekani uliosababishwa na Iran
Picha hizo, zilizotolewa na wanajeshi waliopo kazini, zinaonyesha mfumo wa rada uliokatika, trela zilizopondwa, na majengo yaliyoharibiwa vibaya.
Je, ni timu mbili zinazopigania ubingwa Ligi kuu ya England?
Arsenal na Manchester City ambazo zimekuwa timu mbili bora katika misimu mitatu kati ya minne iliyopita zinaonekana kuwa katika kiwango cha juu zaidi kuliko nyingine zote kufikia sasa.
Nani wanaotaka Iran ichukue hatua za 'kujikinga kabla ya kushambuliwa' na Marekani?
Baadhi ya viongozi na wafuasi wa serikali ya Iran wanataka nchi hiyo kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya maadui kabla ya kushambuliwa. Lakini ni akina nani wanaounga mkono mkakati huo wa mashambulizi ya mapema?
Viongozi 10 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani
Viongozi wengi wa Afrika wamewahi kuuawa wakiwa madarakani. Kati ya matukio mengi yaliyoandikwa katika historia ya bara hili, haya hapa ni matukio 10 makuu yaliyotazamwa na BBC.
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Luke Shaw kuondoka Manchester United?
Ikiwa pande zote mbili hazitafikia makubaliano mapya katika miezi ijayo, beki huyo wa kushoto anaweza kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoondoka Manchester United baada ya kumalizika kwa msimu ujao
Mashahidi wa Lissu - IGP na CDF hawapo nchini, Kingai kuitwa mahakamani Ijumaa
Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imeahirishwa hadi Ijumaa baada ya mahakama kuelezwa kuwa mashahidi watatu waliotajwa walipelekewa wito lakini walidaiwa kuwa nje ya nchi.
Kwa nini IPU ni fursa nyingine adhimu kwa Tanzania?
Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa mamia ya wabunge kutoka sehemu mbalimbali duniani wakati Arusha itakapofanyika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026.
Mambo 10 kuhusu kufika kileleni ambayo wataalamu wanataka ujue
Kufanya ngono na kufikia kileleni kunaweza kusaidia kupunguza maumivu kwa muda na kwa kiwango kikubwa.
Marekani yatangaza silaha yake ya kwanza katika obiti ya Dunia
Waziri wa Jeshi la Anga la Marekani, Troy Meink, amesema silaha hiyo iliyoko kwenye mzingo wa dunia ama obiti ni muhimu kwa ajili ya kulinda majeshi ya Marekani.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Siri ya mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani
Ethel Caterham, mwenye miaka 117, ndiye mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani aliye hai. Makala haya yanaangazia maisha yake pamoja na watu wengine waliowahi kushikilia rekodi hiyo, akiwemo Jeanne Louise Calment aliyefikisha miaka 122.
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Sababu 8 zinazowafanya vijana kubadili dini
Mapema wiki hii, kijana mmoja alionekana kwenye video akidai kuacha Uislamu na kufuata Ukristo, tukio lililoibua hasira na mjadala mkali.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
Kwa nini Mahakama haikuwaita Samia, Majaliwa na Mpango kutoa ushahidi?
Mahakama imeeleza kuwa si sahihi kuwaita mashahidi hao kwa madhumuni ya kuthibitisha iwapo walitishika au hawakutishika kutokana na kauli zinazolalamikiwa katika shauri hilo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 18 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 17 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 17 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































