BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Tanzania yaimarisha tahadhari ya Ebola; Kenya yasema hali inadhibitiwa
Katibu Mkuu wa Afya ya Umma Kenya, Mary Muthoni, amesema mamlaka za afya zimefanikiwa kuwafuatilia karibu asilimia 99 ya watu waliotambuliwa kuwa na mawasiliano na wagonjwa wa Ebola.
Martinez avunjika taya
Asanteni kwa jumbe zenu zote. Upasuaji umefanikiwa - Martinez.
Vape: Kwa nini vijana ambao hawajawahi kuvuta sigara wanaanza kuwa waraibu?
Takwimu za ONS zinaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni moja ambao hawajawahi kuvuta sigara sasa wanatumia vape.
Je, Mashariki ya Kati ipo katika hatari ya kuingia katika vita vingine?
na vikwazo vya kupita, bali pia na hatari ya moja kwa moja ya kushambuliwa. Kuendelea kuongezeka kwa mashambulizi ya meli kunaweza kuilazimisha Washington kuchagua kati ya kukubali vikwazo vya usafiri wa majini katika njia hiyo au kuongeza juhudi za kuifungua tena ili kuhakikisha meli zinapita bila vikwazo.
Titanic: Simulizi ya mwanaume wa pekee mwenye asili ya Kiafrika katika meli hiyo
Mnamo tarehe 10 Aprili 1912, meli iliyokuwa na teknolojia ya hali ya juu zaidi kuwahi kujengwa wakati huo ilianza safari yake ya kwanza kabisa ikitokea Southampton.
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili: Gyokeres ataka kuondoka Arsenal Januari
Gyokeres ataka kuondoka Arsenal, Xabi Alonso awania nyota wawili wa Barcelona huku Liverpool ikimnyatia Felix Nmecha wa Dortmund.
Kenya yathibitisha visa vinne vipya vya Ebola, idadi yafikia saba
Wizara imesema mgonjwa mpya wa kiume alikuwa tayari amewekwa karantini tangu tarehe 6 Oktoba 2026. Wahudumu watatu wa afya, wanaume wawili na mwanamke mmoja wenye umri wa miaka 29, 35 na 32 mtawalia, wamekuwa karantini tangu tarehe 9 Oktoba.
Mshindi wa taji la Miss Grand International 2026, Jihan Dimack, apokelewa kwa shangwe Tanzania
Jihan amesema anajivunia kuzaliwa Tanzania, nchi anayoitaja kuwa mfano wa amani, upendo na umoja. Alieleza kuwa Watanzania wana utamaduni wa kuishi na kufanya kazi kwa ushirikiano, bila kujali tofauti za asili, dini au mila.
Vita vya Iran, Wahouthi na makubaliano na Putin: Migogoro mitatu inayofungamana Washington
Wakati mashambulizi ya Wahouthi yaliyosababisha vifo vya watu katika uwanja wa ndege wa Riyadh yakiongeza hatari ya vita dhidi ya Iran kupanuka, athari za mzozo huo zimefika hadi Washington, ambako juhudi za Donald Trump za kudhibiti bei za mafuta kupitia makubaliano na Urusi zimekabiliwa na ukosoaji, hata miongoni mwa Warepublican.
Wagombea wote 7 wa ukatibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wapingwa na kura ya turufu
Taarifa za vyombo vya habari vya Marekani zinaashiria kuwa Washington inawapinga wagombea wote saba wanaowania nafasi hiyo.
Kwa nini mkataba wa Rwanda wa kuandaa mbio za Langalanga-F1 bado unazua utata
Mashindano ya Formula 1 yanatarajiwa kurejea barani Afrika mwanzoni mwa miaka ya 2030, lakini mkataba wa Rwanda wa kuandaa mbio hizo umezua tuhuma kwamba nchi hiyo inatumia michezo kuboresha taswira yake ya kimataifa.
Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa anapougua?
Wataalamu wanaeleza kuwa sheria za kanisa (canon law), ambazo zinafafanua kwa kina taratibu za kumrithi Papa anapofariki au kujiuzulu, hazitoi mwongozo wa kutosha katika hali ambapo Papa bado yuko hai lakini hawezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Joseph Kabila: Kutoka urais hadi kuongoza muungano unaojumuisha M23
Kwa zaidi ya miongo miwili, Joseph Kabila Kabange amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za DRC.
Kwa nini Marekani inafikiria kutumia 'Mama wa Mabomu Yote' dhidi ya Iran?
Mtandao wa CNN umenukuu vyanzo vyenye taarifa kuhusu mipango hiyo vikisema kuwa jeshi la Marekani linafikiria uwezekano wa kutumia bomu la GBU-43/B, linalojulikana kama “Mama wa Mabomu Yote”, kushambulia miundombinu ya nishati na maeneo ya nyuklia ya Iran.
Mwaka mmoja baada ya Raila: Nini kimebadilika?
Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kimeacha alama kubwa katika siasa za Kenya, huku mjadala ukiendelea kuhusu urithi wake na mwelekeo wa kisiasa alioujenga kwa zaidi ya miongo minne.
BBC Africa Eye: Ni nani aliwapiga risasi waombolezaji wa Raila Odinga?
Uchambuzi wa BBC Africa Eye wa video na picha 1,500 umeonyesha kuwa waliouawa katika hafla ya kumuaga Raila Odinga hawakuwa karibu na eneo la vurugu.
Mataifa saba yanayolipa mshahara mkubwa zaidi Afrika
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kenya iliwapiku majirani zake Tanzania, Uganda na Rwanda, lakini ikabaki nyuma ya Djibouti, ambayo ndiyo iliyoongoza sio Afrika Mashariki pekee bali pia bara zima kwa wastani wa dola 2,836 kwa mwezi.
'Mwaka mmoja bila Polepole umekuwa mgumu sana'- Familia
Kaka yake, Godfrey Polepole, ameiambia BBC kuwa familia imekuwa ikipitia kipindi kigumu tangu kutoweka kwa ndugu yao, huku juhudi za kumtafuta zikigonga mwamba.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Kwa nini Marekani iliziondoa kwa ghafla ndege zake za kurusha mabomu kutoka Uingereza?
Hatua ya ghafla na ya kina ya kuondolewa kwa ndege nzito za Marekani zenye uwezo wa kubeba mabomu siku ya Jumapili ilikuja kwa kasi kiasi cha kuacha kila mtu akijiuliza ni nini kilichosababisha hatua hiyo
Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya
Mradi huo unatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Mwaka mmoja bila Raila: Ni nani amenufaika zaidi na pengo aliloacha katika siasa za Kenya?
Hakuna mwanasiasa mwingine katika historia ya kisasa ya Kenya ambaye ameacha pengo la kisiasa linalozua mjadala mkubwa kama Raila Odinga.
Sir Wicknell alipataje utajiri wake?
Chivayo ameacha kampuni, mali na mahusiano na watu wenye ushawishi, lakini pia ameacha maswali ambayo huenda baadhi ya majibu yake ameondoka nayo.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 19 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 16 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 16 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 16 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































