'Deni la taifa linakua, lakini ni himilivu'-Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

Maelezo ya video, Deni la Tanzania ni stahamilivu
Iliyochapishwa
Muda wa kusoma: Dakika 1

Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imekiri kuwa deni la Taifa hilo linazidi kukua, japo linahimilika na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa.

Kauli hiyo imetolewa na Gavana wa BOT Emmanuel Tutuba wakati wa mahojiano maalum na mwandishi mwandamizi wa BBC, Florian Kaijage.