Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Urusi yakataa baadhi ya masharti ya mpango wa amani ya Ukraine
Msemaji wa Urusi amesema mkutano wa Moscow ulikuwa "wenye tija," lakini baadhi ya sehemu za mpango wa amani hazikubaliki kwa Urusi.
Muhtasari
- UN yashutumu kuongezeka kwa ukandamizaji dhidi ya upinzani Uganda
- Putin hajakataa mpango wote wa amani wa Marekani kwa Ukraine - Urusi
- Mwanamume ashtakiwa kwa madai kuwa alimeza kito chenye thamani ya $19k
- Wabunge Kenya wabaini 'mwenendo wa utovu wa nidhamu' wa wanajeshi wa Uingereza
- Marekani yasitisha upataji uraia kwa wahamiaji kutoka nchi zilizopigwa marufuku kusafiri
- Israel yasema mabaki iliyokabidhiwa na Hamas sio ya mateka wao
- Mawaziri wa kigeni wa NATO wakutana
- Mfanyabiashara Niffer afutiwa kesi ya uhaini, aachiliwa huru
- Amnesty inawatuhumu wanamgambo wa Sudan kwa uhalifu wa kivita
- Wazri wa Marekani ajitetea kutokana na shambulio dhidi ya boti katika pwani ya Caribbea
- Msako wa ndege ya Malaysia iliyopotea 2014 kuanza tena
- Papa Leo ameitaka Marekani kutotumia nguvu kumwondoa rais wa Venezuela
- Maelfu ya risasi za jeshi la Ujerumani zaibwa katika lori
- Trump asema hataki Wasomali Marekani
- Waziri wa ulinzi wa Nigeria ajiuzulu huku utekaji ukikithiri
- Mazungumzo ya Urusi na Marekani yashindwa kuleta maafikiano