BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump akanusha Marekani kuishiwa silaha za kivita
Rais wa Marekani Donald Trump amekanusha taarifa kwamba Marekani imepungukiwa na silaha na risasi, akisema nchi hiyo ina akiba kubwa ya silaha na kwamba nyingine zinaendelea kutengenezwa.
Vitu 7 vyenye thamani kubwa zaidi kuwahi kupatikana duniani
Linapokuja suala la vitu adimu na vyenye thamani kubwa zaidi, unaweza kushangazwa na bei wanazofikia baadhi ya vitu hivi.
Saudi Arabia yakataa kujiunga na mkataba wa Abraham - Gazeti la Wall Street
Gazeti la Marekani, Wall Street Journal, limeandika kuhusu makubaliano ya ulinzi ya Makkah yaliyosainiwa na Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan, likisema makubaliano hayo yanaashiria mabadiliko katika mwelekeo wa ushirikiano wa kikanda wa Saudi Arabia.
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal yamgeukia Bradley Barcola
Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 33, anatarajiwa kuongeza mkataba wake na Bayern Munich hadi 2029.
Makombora ya Iran ya Kurushwa Begani: Ni tishio kiasi gani?
Reuters iliripoti, ikinukuu vyanzo visivyotajwa majina, kwamba Iran imetia saini mkataba wa thamani ya dola milioni 60-70 kwa ajili ya kununua mifumo 300-400 ya ulinzi wa anga inayoweza kubebeka na mtu mmoja.
Dangote atangaza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Lamu kuanza Oktoba 2026
“Maandalizi ya kiwanda hicho yamepiga hatua kubwa nchini Kenya kwa sababu tunachojaribu kufanya ni kuhakikisha kuwa katika nchi nyingi za Afrika zinakuwa na uwezo wa kujitosheleza kwa mahitaji yao ya nishati,” Dangote aiambia BBC.
Wanasayansi wanaweza kujifunza nini roketi ya SpaceX iliyoanguka mwezini?
Huenda ikachukua siku au hata wiki kuelewa kikamilifu tukio hilo na yale yanayoweza kujifunza kutoka nalo, lakini kwa wanasayansi wanaochunguza muundo na nyuso za sayari, tukio hili ambalo halikutarajiwa ni fursa adimu ya kisayansi.
Tetesi za Usajili Ulaya: Barca yaongeza dau la Rodri, Romero aitaka Arsenal
Barcelona imeongeza ofa yake ya kumsajili Rodri kutoka Manchester City, Cristian Romero anataka kujiunga na Arsenal, huku Nottingham Forest ikiwa karibu kumsajili Ousmane Diomande.
Kwa nini Tanzania inawashirikisha majaji wa nje kuchunguza ghasia za Oktoba 29?
Vyama vya upinzani nchini Namibia, na CHADEMA cha Tanzania vimepinga uwepo wa majaji wa nje, kwa mantiki mbalimbali ikiwmeo uhuru wa kimahakama Namibia na hofu ya kutopatikana ukweli kwa Tanzania.
“Kwa nini tupigane ikiwa tunaweza kuzungumza?” – Rais wa Iran
Kwa upande mwingine, afisa mmoja wa Marekani ameiambia Reuters kuwa kumekuwa na maendeleo mazuri katika mazungumzo kati ya Iran na Oman kuhusu Mlango Bahari wa Hormuz, huku Washington ikitarajia makubaliano kufikiwa hivi karibuni.
Wanasayansi wamevumbua njia ya kufuta kumbukumbu mbaya: Je, tunapaswa kuitumia?
Watafiti sasa wanaweza kudhoofisha, kuandika upya, au kufuta kumbukumbu kwa wanyama, huku wakichunguza uwezekano wa kutumia mbinu kama hiyo kwa wanadamu.
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal inataka watatu, Man City yamfukuzia Enzo Fernandez
Manchester City inaaangalia uwezekano wa kumsajili Enzo Fernandez wa Chelsea, Arsenal inaweza kupambana na Manchester United kumwania Pio Esposito, huku Liverpool ikiwa bado haijafikia makubaliano na Paris St-Germain kuhusu ada ya Bradley Barcola.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Njia tano ambazo vijana wanaweza kujipatia kipato kikubwa
Hata kama mtu anatoka katika familia yenye uwezo wa kifedha au amerithi mali kutoka kwa wazazi wake, bado anapaswa kufanya kazi kwa bidii ili kulinda na kuendeleza utajiri huo.
Iran inaweza kuendelea na vita kwa muda gani?
Iran inaendelea kurusha makombora na ndege zisizo na rubani, imeifanya Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa moja ya njia zake muhimu za kuweka shinikizo, na imekataa kukubali kusitishwa kwa mapigano hata katika vipindi ambavyo mashambulizi ya Marekani yalipungua.
Waridi WA BBC: 'Shiko mnyanyua vyuma' aliyekataa kutambuliwa kwa ulemavu wake
Shiko wa Machuma, msichana kijana wa miaka 23, aliyekata kutambuliwa kwa ulemavu au kuruhusu utawale kurasa za maisha yake.
Nchi 10 zinazoongoza kwa uaminifu duniani na 10 zinazofanya vibaya zaidi
Watafiti walikabidhi jumla ya pochi 17,003 zilizodaiwa 'kupotea' kwa watu wanaosimamia biashara na taasisi mbalimbali, katika miji 355 na mataifa 40.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
CHADEMA yakanusha kufanya mazungumzo ya siri na serikali
Julai 30, 2026, Rais Samia alikutana na viongozi wa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu. CHADEMA hakikushiriki mkutano huo. Katika hotuba yake, Rais alisema; "Kuna mwenzetu mmoja bado anaendelea kutafakari. Bado tunaendelea kupokea misukumo yake, conditions zake na matakwa yake,".
Kwanini kondo la nyuma linauzwa katika soko haramu?
Mwisho wa mwezi uliopita, mamlaka zilikamata kilo 500 za kile walichoamini kuwa ni kondo la nyuma la binadamu katika kituo haramu cha kuchakata bidhaa hizo mjini Islamabad, na kuwakamata watu watano.
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 7 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































